HUU HAPA WIMBO MPYA WA MANONGA CLASSIC UNAITWA NDOA IHESHIMIWE

 
Yule muimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza Manonga Classic ameachia wimbo mpya kabisa leo Sep 29 2017 wimbo unaofahamika kwa jina la 'Ndoa Iheshimiwe'

Wimbo huo ni maalumu kwaajili ya sherehe ya harusi ukiwa na maneno ya wosia kwa maharusi unatoka kwenye album yake mpya itakayokuwa mtaani hivi karibuni.

Producer wa wimbo huo ni Eliya kutoka studio za St.Dominic za jijini Mwanza.Maonga classic anatualika kwa mara ya kwanza kabisa tuweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huo hapo chini.Kwa mawasiliano zaidi unaweza kumpigia Manonga kwa namba:0752690120
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment