GIDEON PAUL AMEREKODIA WIMBO WCB,UNAITWA CHAGUO LANGU,USIKILIZE HAPA



Mwimbaji anayefanya vizuri kwa sasa kwenye mziki wa injili kutokea mkoani Tabora anayeitwa Gideon Paul Magangira,ameachia wimbo wake mpya unaojulikana kama ‘Chaguo Langu’.

Wimbo huo ni maalum kwaajili ya sherehe ya Harusi ambapo katika mashairi Gideon anasikika akisema anashukuru amempata mwenzi wake wa maisha.
Wimbo huo umefanyika katika studio za VeeKings Music na kukamilishwa katika studio za WCB Chini ya mikono ya producer Veano Nusder.

Karibu sasa kupitia Promovertz.com uweze kuusikiliza wimbo huu ambao hakika hauchoshi kuusikiliza.Tafadhali sambaza kwa marafiki.

Kwa mawasilianozaidi unaweza kumpigia Gedeon Paul kwa simu namba:0762700762/0686183714
  SIKILIZA/DOWNLOAD GIDEON PAUL FT.DANIEL THOMAS-AKUKUMBUKE

  SIKILIZA/DOWNLOAD GIDEON PAUL-HALLELUJAH!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment