MFAHAMU MWIMBAJI LOVENESS FUNGO NA WIMBO WAKE WA SIO MWISHO

 
Kupitia Promovertz.com leo tunakuletea mwimbaji mpya kabisa ambaye anatulete wimbo mpya toleo la mwaka 2017.

Mwimbaji huyu anafahamika kwa jina la Loveness Fungo na wimbo wake unaitwa 'Sio Mwisho' 

Akizungumza na Promovertz.com Loveness alisema wimbo huo ni maalumu kwaajili ya wote waliopitia au wanaopitia khari ngumu ya maisha hadi kufikia wakati wa kukata tamaa hivyo kupitia wimbo huo anawambia kuwa ni khari ya muda tu na kwamba mwaka mpya wa 2018 kuna utukufu ulio juu ya wote.

Loveness Fungo yuko chini ya lebo ya Gospel255 Entertainment na kama utamuhitaji kwaajili ya mialiko na huduma kwa ujumla mtafte kwa simu namba:0767211061/0655211061
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment