SIKILIZA/DOWNLOAD NIFUNDISHE BWANA KUTOKA KWA MWIMBAJI WA TABORA|NEEMA NDITIYE

 
Kutoka mkoani Tabora nchini Tanzani leo tunakutambulishia mwimbaji wa nyimbo za injili mzaliwa wa Kigoma lakini kwasasa anaishi mkoani Tabora.

Anaitwa Neema Nditiye na leo anatuletea wimbo unaoitwa 'Nifundishe Bwana' na huu ndio wimbo unaobeba album yake hiyo.

Wimbo huu umerekodiwa katika studio za Choosen za jijini Dar es salaam chini ya producer Sam Mboya.

Karibu sasa uweze kusikiliza wimbo wa mwanadada huyu ambaye ni mahiri katika utunzi na sauti.Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupata Neema kupitia simu namba:0765709969

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment