TAZAMA VIDEO YAKE ROGATE KALENGO|KUNA NAMNA

 
Kupitia tovuti yako pendwa ya promovertz.com leo Tunakuletea burudani nzuri kabisa kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeitwa Rogate Kalengo.

Wimbo huu unaoitwa 'Kuna Namna' unabariki sana isitoshe pia video yake ipo katika ubora wa hali ya juu.Itazame sasa hapa chini.

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment