TAZAMA/DOWNLOAD VIDEO NA AUDIO YA WIMBO WAKE NEEMA NDITIYE|MWENYE HAKI

 
Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoani Tabora anayeitwa Neema Nditiye anatuletea wimbo wake mzuri kabisa kutoka kwenye album ya Nifundishe Bwana.

Wimbo anaotuletea leo Neema unaitwa 'Mwenye Haki' kizuri zaidi ni kwamba leo utapata audio na video ya wimbo huo.

Audio imerekodiwa jijini Dar es salaam kwenye studio za Choosen producer akiwa ni Sam Mboya wakati video ikiwa imeongozwa na producer mahiri anayeitwa Mbangwa Hassan.

Karibu sasa utazame na kusikiliza kisha kupakua wimbo huu pia unaweza kuusambaza kwa marafiki.Kwa mawasiliano mtate Neema Nditiye kwa simu Namba:0765709969

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment