HII NI VIDEO NA AUDIO NYINGINE KALI KUTOKA KWA NEEMA NDITIYE INAITWA USIKATE TAMAA

 
Anaitwa Neema Nditiye mwimbaji anayevuma kwa kasi kutoka mkoani Tabora kwa mara nyingine tena anatualika kutazama na kusikiliza kazi yake nyingine inayoitwa 'Usikate Tamaa'

Akizungumza na promovertz.com Neema alisema huu ndo wimbo unaombariki kuliko nyimbo zake zote kutoka album ya Nifundishe Bwana.

Alisema wimbo huu umejaa hisia za uhalisia na una uwezo wa kuponya nafsi ya mtu iwapo atausikiliza kwa makini.Wimbo huu pia umerekodiwa kwenye ile ile studio ya Choosen ya jijini Dar es Salaam chini ya mikono ya producer Sam Mboya.

Video imeongozwa na Producer maarufu anayeitwa Kambangwa Hassan.Karibu sasa tubarikiwe wote kupitia wimbo huo.Kwa mawasiliano zaidi mpigie Neema Nditiye kwa simu namba:0765709969.


Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment