VIDEO YA HALLELUJAH YAKE GIDEON PAUL IKO TAYARI,ITAZAME HAPA

 
Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa kutoka kwa Gideo Paul mwimbaji kutoka Tabora hatimaye imekamilika na sasa unaweza kuitazama.

Video yenyewe ni ya wimbo wa 'Hallelujah' ambayo Gideon aliahidi kuiachia kabla ya kuingia mwaka mpya wa 2018 na ametimiza ahadi hiyo.

Halelujah ni wimbo wa sifa ukiwa katika mahadhi ya boringo,wimbo umerekodiwa katika studio za Kapstone Production za mkoani Tabora chini ya mikono ya producer Baraka Richard(BK) lakini video imeongozwa na kampunini ya Outline Media

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kumpata Gideon Paul kwa simu namba:0762 700762/0686 183714.Karibu sasa utazame video hiyo: 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment