DOWNLOAD NEW AUDIO BETHAEL NSUMYI | NIKO SALAMA


Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania kwa jina Bethael Nsumyi anatuletea wimbo wake mpya kabisa utakaopatikana kwenye album mpya atakayoiachia hivi karibuni.

Wimbo unaitwa 'niko salama' ukiwa umefanyika kwenye studio za BN Records 

Kwa mawasiliano zaidi mpigie Bethael kwa simu namba:0717 831439 au 0758294053

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment