DOWNLOAD/SIKILIZA SAFARI BY BETHAEL NSUMYI


 
Bethael Nsumyi Mwimbaji wa nyimbo za injili leo tena anatualika tusikilize wimbo wake maarufu unaojulikana kama 'SAFARI'.

Huu ni wimbo uliomtambulisha aliuachia miaka kadhaa iliyopita ila kaurudia tena kwa ubora wa hali ya juu,Wimbo huu umefanyika kwenye studio ya BN Records 0717 831439.

Akizungumza na  Promovertz.com Bethael amesema
‘Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya huduma hii pili napenda kumshukuru sana Mungu kwa ajili ya Nyimbo hii hii nimoja ya Nyimbo iliyopata kibali kila sehemu inakosikika na ninyimbo iliyobeba ujumbe mkubwa sana unaowagusa watu mojakwa moja! Na ktk uandishi Wa Nyimbo hii nimezingatia mambo mengi sana yanayo lenga maisha yawatu! Nikweli tunapitia changamoto nyingi sana!!

Pia Nyimbo hii imekuwa ikiwapa nguvu watu wengi waliokata tamaa na kuvunjika moyo ukikaa ukaisikiliza kwa umakini na kwa utulivu utajua mguso uliomo ndani ya Nyimbo hii!!

Pia namshukuru Mungu kupitia Nyimbo hii Mungu amenibariki vitu vingi kupitia wasikilizaji na watumishi mbalimbali walio guswa na ujumbe huu.Hakika nitafika’By Bethael Nsumyi.

Kwa mawasiliano Zaidi unaweza kumpata Bethael kwa mawasiliano haya:0758 294053/0717 831439
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment