SIKILIZA/DOWNLOAD SEHEMU YA 4 YA USHUHUDA WA KWELI | MALKIA WA KUZIMU


Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye ile simulizi pendwa ya ushuhuda wa kweli uitwao malkia wa kuzimu,leo tunakuletea sehemu ya-4

Kumbuka huu ni ushuhuda wa kweli wa kijana anayeitwa Anthon Masawe anayeshuhudia mapito yake baada ya kujikuta kwenye wakati mgumu alipopendwa na malkia wa kutoka ufalme wa giza.

Karibu sasa tuendelee na sehemu ya nne ya ushuhuda huu. Sehemu ya tano ambayo ni ya mwisho itakujia hivi karibuni.endelea kutembelea mtandao huu
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment