DERICK NDONGE AMEREJEA KWA KISHINDO,TAZAMA VIDEO YAKE MPYA HAPA | NITAIMBA HALLELULA


Baada ya miaka kadhaa ya kukaa Kimya hatimaye Mwimbaji mahiri Derick Ndoge amerejea rasmi kwa kishindo kwenye muziki wa injili.

Derick amerejea na Album mpya inayoitwa  Nitaimba Halleluya aliyoiachia hivi karibuni na katika kudhihirisha ujio wake ameamua kuachia Video kali ya wimbo wake wa Nitaimba Halleluya

Video hii imeongozwa na director mahiri Einxer na ina ubora wa hali ya juu kuanzia kwenye rangi hadi mandhari.

Hebu chukua dakika zaka zako chache kutazama video hii kisha isambaze kwa marafiki na kama utamuhitaji Derick Ndonge kwaajili ya mialiko mtafte kwa simu namba:0753 661 611
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment