VIDEO MPYA YA WALTER CHILAMBO YAZIDI KUWA GUMZO,ITAZAME HAPA


Wimbo unaitwa Only You kutoka kwa mwimbaji Walter Chilambo.

Ni wimbo ambao umeendelea kuwa gumzo baada ya kuachiwa rasmi hivi karibuni.Ni kutokana na ubora wa video na umahili wa audio huenda ndio vikawa sababu ya wimbo huu kuendelea kutajwa sana kwa sasa.

Kama hujautazama nakualika rasmi sasa uutazame wimbo huu na kama una maoni tuandikie hapo chini.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment