NEW VIDEO & AUDIO:SAYUNI MRITA | NITASHINDA TU



Kwa mara nyingine tena yule Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoani Morogoro anayefahamika kama Sayuni Mrita anatuletea zawadi hii kabla ya kufunga mwaka 2018.

Ni video pamoja na Audio ya vimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Nitashinda tu' .Audio imerekodiwa kwenye studio ya Ritha Records chini ya producers Kingson na Papaa Denilson Denis.Video imefanywa na production ya Bryance chini ya director Mbangwa Hassan.

Akizungumza na Promovertz.com Sayuni Mrita amesema 'wimbo huu ni ujumbe wa roho mtakatifu kwa watu wote,unamtia mtu moyo aweze kusimama katika neno la Mungu hata kama anakutana na hali ngumu sana inayoonekana kama usiku kwakwe...Daima tukumbuke kuwa Mungu anatuwazia mema na ametuhakikishia asubuhi(ushindi)akiwa upande wetu hatutaogopa wala kutikisika,tuna ujasiri wake kwakwe yeye maana yeye ni mwaminifu'

Kwa mawasiliano zaidi mtafute Sayuni kupitia:
Facebook:sayuni Mariki Mrita
Instagram:sayuni_mrita
Youtube:sayuni Mariki Mrita
Simu:+255686815115

Karibu sasa uweze kutazana na kusikiliza wimbo huo hapo chini.

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment