
Uzinduzi huo ulikuwa ni wa album ya NANI KAMA MAMA ambapo alisindikizwa na waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
Tamasha hilo lilienda sambamba na uchangiaji wa pesa kwaajili ya kuwasaidia yatima na wajane,ambapo viongozi mbalimbali wa serikali kutoka jijini Mwanza waliendesha zoezi hilo.
Karibu utazame picha katika tukio hilo:








Kutazama picha zaidi,bonyeza>>HAPA
No comments:
Post a Comment