Askofu
Mkuu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God Dk.Barnabas Mtokambali
Amechaguliwa Kuwa Raisi Wa Shirikisho La Makanisa Ya Assemblies Of God Barani
Afrika Katika Uchaguzi Ambao Umefanyika Johanesbug Afrika Kusini.
Mchungaji Mtokambali Amepokea Kijiti Hicho
Kutoka Kwa Mtangulizi Wake Revi Mitre Djakoute Kutoka Nchini Togo Ambaye
Ameongoza Shirikisho Hilo Tangu Mwaka 2014.
Maaskofu
Mbalimbali Wa Tag Wa Majimbo Ya Dar Es Salaam Na Baadhi Ya Watu Ambao
Wamejitokeza Kumpokea Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Juliusi Nyerere
Akitokea Afrika Kusini Kwa Ajili Ya Uchaguzi Mkuu.
Aidha
Amesema Kuwa Kuchaguliwa Kwake Kuwa Rais Wa Assemblies Of God Alliance Afirica Ni Mpango Wa Mungu Ili Imjue Mungu.
No comments:
Post a Comment