Muhubiri
mmoja anayefahamika kama Mtume Light Monyeki nchini Afrika Kusini amewapa waumini wake maji aliyo yachanganya na
sumu ya panya kwenye dumu la plastiki.
Baada
ya kuyaombea aliwaambia waumini wake hayana madhara tena na kunywa yeye kwanza
kabla ya waumini wake na kuwataka wapite mbele kunywa mmoja mmoja.
Aliwambia
wanye sumu hiyo kuonyesha imani zao,na wengi walifanya hivyo taarifa kutoka
page ya kanisa zilisema.
Light
Monyeki,ambaye anaongoza kanisa la Grace Living Hope Ministries mjini
Pretorria,anasema kuwa kwa kunywa sumu hiyo,inaonyesha kuwa kifo hakina nguvu
kwa waumini.
Picha
kwenye ukurasa wake wa Facebook, zinamuonyesha akichanganya dawa inayotumiwa
kuua panya kwenye chupa na kuinywa na kisha kuwapa waumini.
Bwana
Monyeki ni mhubiri wa hivi majuzi kuripotiwa kuhusika na visa vyenye utata
kanisani.
No comments:
Post a Comment