Pages

24 June 2017

TAZAMA VIDEO MPYA-USILIE TENA | NEEMA NG'ASHA

Ile video ya 'Usilie Tena' iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa yake mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Neema Ng'asha sasa imetoka rasmi.

Video hii yenye ubora wa hali ya juu kabisa imeongozwa na studio ya Mwamakula Production huku audio ikiwa imetayarishwa katika  studio ya Apao Records na Producer Issam.

Usilie tena ndio wimbo uliobeba album mpya yake Neema itakayokuwa sokoni hivi karibuni ikipatikana katika mfumo wa Audio na DVD.Karibu sasa utazame video hiyo hapa chini na kama una maoni tafadhali tuandikie hapo chini.

No comments:

Post a Comment