Picha zifuatazo zinaonesha Jinsi mkutano wa Petencostal Evangelical
Mission (PEM)ulivyofanyika ulioanza tarehe 03 mwezi wa 7 na kufikia tamati siku ya leo Huku
kukiwa na ugeni kutoka Chikago Marekani Allan Robinson ambae ameendesha semina ya ndani ya uongozi pamoja na Mhubiri
Saimon Kondela kutoka tawi la Mganza katika kanisa la PEM.
Mkutano Huo Wenye Nguvu Kubwa Za Mungu Umekuwa Wa Baraka
Kubwa Kwa Wakazi Wa Jiji La Mwanza Hususani Mitaa Ya Igoma ambako umefanyika
watu wengi wakifunguliwa na kupokea uponyaji.
No comments:
Post a Comment