Pages

18 October 2016

WASIOAMINI UWEPO WA MUNGU NCHINI KENYA WATAKA NENO"MUNGU"LIFUTWE KWENYE WIMBO WA TAIFA



Chama cha watu wasioamini uwepo wa Mungu(Atheists nchini Kenya)kimetaka kuondolewa kwa neno ‘God’ kwenye wimbo wa taifa.
Wanadai kuwa neno ‘God” kwenye mstari wa kwanza wa wimbo huo halihimizi moyo wa umoja kwakuwa si Wakenya wote wanaomuamini Mungu.

Wamedai kuwa Kenya ni nchi isiyo na dini na hivyo kuimba wimbo wa taifa wenye neno ‘God’ inakinzana na katiba ya nchi hiyo. Wimbo wa taifa wa Kenya huanza na kwa kusema “Oh, God of all creation.” 

Watu hao wamesema kuwa huhisi kutengwa kila wimbo huo unapoimbwa.Wamesema watapeleka malalamiko yao bungeni.Kufamamu kuhusu chama hicho Bonyeza>> Hapa


MKESHA MKUBWA WA MAOMBI UNAKUJA FAHAMU ZAIDI 

No comments:

Post a Comment