Mchungaji
kiongozi wa kanisa la Mlima wa Moto Assemblies of God Askofu Dr.Gertrude
Rwakatare siku ya Ijumaa 18.11.2016 aliweza kutoa misaada mbalimbali kwa
wagonjwa wanaosumbuliwa na kansa(cancer)katika hospitali ya Ocean Road jijini
Dar es Salaam.
Pia aliweza kufanya maombi na kuwatia moyo wagonjwa ambao
wmekuwa hospitalini hapo kwa muda mrefu.
Askofu
Dr.Gertrude Rwakatare pia ameitaka jamii kuwa mstari wa mbele kuwasaidia
wagonjwa wa aina hiyo kwani wao pia ni sehemu ya jamii na wana haki ya kupata
faraja.
Zifuatazo
ni baadi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea wakati Askofu Dir.Getrude
Lwakatare alipokuwa akitoa misaada hospitalini hapo.
Picha na Habari kwa hisani ya GospoMedia.com
No comments:
Post a Comment