
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Jijini Mwanza Neema Ng'asha ameitaarifu PROMOVER.COM kuwa yupo location akiendelea na shughuli ya kutengeza video ya wimbo wake wa USILIE TENA.
Audio ya Wimbo hiyo imefanyika APAO RECORDS iliyoko mwananyamala jijini Dar es Salaam producer akiwa ni Issam.Ni wimbo wa kutia faraja kwa mapito unayopitia ili kukupa nguvu za kuzidi kusonga mbele ambapo anasema alitunga wimbo huo wakati alipokuwa akipitia katika changamoto nyingi sana za maisha.
Karibu sasa uweze kutazama picha wakati wa utengenezaji wa video hiyo abayo itakamilika hivi karibuni.








Inaoshesha video hiyo itakuwa nzuri sana kufuatia mwonekana wa picha zenyewe za tukio la utengenezaji.Kaa tayari kwa video hiyo
-Kuusikiliza wimbo huo wa Usilie Tena,bonyeza>>HAPA
No comments:
Post a Comment