AUDIO:DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO WAKE NEEMA NG'ASHA-USILIE TENA

 

PROMOVER.COM inakuletea burudani nzuri kabisa kutoka kwake mwanadada Neema Ng'asha wa jijini Mwanza,wimbo unaitwa "Usilie Tena"

Wimbo umefanyika APAO RECORDS iliyoko mwananyamala jijini Dar es Salaam producer akiwa ni Issam.Ni wimbo wa kutia faraja kwa mapito unayopitia ili kukupa nguvu za kuzidi kusonga mbele.

Akizungumza na PROMOVER.COM Neema anasema alitunga wimbo huo wakati alipokuwa akipitia katika changamoto nyingi sana za maisha.

"nilikuwa nimeumia na kushuka moyo sana,moyoni mwangu nikapata ujumbe huu,baada ya kurekodi wimbo huu Mungu alinihudumia mimi binafsi nilipta TUMAINI JIPYA ,pia ninajua kuwa watu wengi wanaopitia majaribu mengi sana maisha magumu ya kukatisha tamaa.Ni maombi yangu watakapousikiliza au kuangalia video ya wimbo huu,Mungu awaguse awatie nguvu mpya kama wanalia basi wasilie tena maana Mungu atakwenda kufanya jambo jipya katika maisha yao,Natumainia wimbo huu utafanyika baraka kwa watu wengi sana ndani na nje ya Tanzania".Anasema Neema.

Je!ulipata nafasi ya kufahamu historia ya kimuziki yake Neema Ng'asha?kama bado bonyeza>>HAPA

Neema anapatikana kwa mawasiliano yafuatayo:
Simu/wasap:0673527249
Email:neemamwamba@gmail.com
Facebook:Neema Ng'asha
Instagram:neema.ngasha

-Download/Sikiliza hapa chini wimbo wa Usilie Tena 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

  1. Slot Machines: How to Play 777 | Tricktactoe
    Play 777, a popular 블랙 잭 slot game, on desktop 금융거래정보 제공사실 통보서 or mobile, or 스핀 토토 mobile devices with your iPhone or Android. Try 바다이야기 사이트 the free version of 777 for free! 사설토토 운영노하우 샤오미

    ReplyDelete