Mwaka jana aliwaruhusu mapadre
kufanya hivyo kwa kipindi ambacho kilitajwa kama mwaka wa huruma ya Mungu
kilichoisha Jumapili iliyopita.
Hapo awali maaskofu peke yao ndio
waliokuwa na uwezo wa kuwasamehe wanawake waliotoa mimba.
Baba mtakatafu amesisitiza kwamba
mafundisho ya kikatoliki yanaonyesha kwamba utoaji mimba ni kosa kubwa, lakini
kiongozi huyo ameeleza kwamba Mungu ni mwenye huruma na anaweza kusamehe dhambi
zote ikiwa mkosaji atatubu.
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki
duniani amesema anaelewa jinsi suala la utoaji wa mimba linavyoweza kuwa tatizo
kimaadili kwa mwanamke.
Chanzo:BBC Swahili
Chanzo:BBC Swahili
No comments:
Post a Comment