Hata hivyo, wafuasia wake
wamekuwa wakimtetea wakisema kuwa utabiri wake ulitimia kwa sababu Bi Clinton
alishinda wingi wa kura licha ya yeye kushindwa kutokana mfumo unaotumiwa
kwenye uchaguzi nchini Marekani unaofahamika kama "electoral
College".
Ujumbe mpya katika akaunti ya
Joshua ya Facebook unaunga mkono maoni hayo,ukisema:
"Tumeona matokeo ya uchaguzi
nchini Marekani. Baada ya kusoma, utaelewa kuwa hii inahusu kura nyingi, kura
ya waamerika wengi"
"Kwa hali hii tunahitaji
roho ya nabii kutambua au kumuelewa nabii." TB Joshua anaendelea kusema.
Chanzo:BBC Swahili
No comments:
Post a Comment