Video ya wimbo wa Acha nikuimbie wake mwimbaji wa nyimbo za injili anayeitwa Manonga Classic imeiva na iko tayari kupakuliwa,amesema Manonga alipozungumza na promovertz.com
Amesema video hiyo ambayo imeongozwa na director ip magera ina ubora na viwango vya hali ya juu hivyo basi kila mtu akae mkao wa kupokea.Tazama behind the scene(nyuma ya pazia)za utengenezaji wa video hiyo.
No comments:
Post a Comment