VIDEO:TAZAMA WIMBO MPYA WA MASANJA MKANDAMIZAJI-MOYO MWEUPE

 

Katika burudani za PROMOVERTZ.COM leo tunakulete wimbo mpya kabisa kutoka kwake Masanja Mkandamizaji wimbo unaitwa Moyo Mweupe.

Wimbo huu ambao unamuonesha akiwa katika manzali tofauti tofauti ya nje ya nchi,unapatikana kwenye Album yake ya Supraiz.Ni matumaini yetu utabarikiwa na wimbo huu

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Masanja Mkandamizaji kupitia:

Simu/WhatsApp: +255713855855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: masanja


Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment