KUHUSU SISI




Promover.com ni Tovuti ya kikristo iliyoanziswa maalumu kwaajili ya kutangaza na kusambaza masuala ya injili kama vile gospel music,makongamano,semina,mikutano ya injili na habari za kikrisro.


Pia tovuti hii imetokana na usimamizi(manegement)iitwayo Promover Manegement yenye makao yake makuu  mkoani Mwanza Mlezi mkuu wa akiwa ni mtumishi wa Mungu Frighton Simeon wa huduma ya Divine Inspiration For All.

Kazi ya Promover Manegement ni kuwatangaza na kuwasimamia waimbaji wa muziki wa injili na kazi zao,kuwapa mwongozo madhubuti wa jinsi ya kuimarika katika muziki na mwishowe kufikia malengo yao pia na kuinua muziki wa injili nchini.

Ndani ya Promover Manegement kuna viongozi watangazaji wa redio tv na wachungaji, wenye uwezo wa kumpa connection na mwongozo stahiki mwimbaji yeyote.

Hadi sasa Promover Manegement inao waimbaji wasiopungua 10 wa ndani na nje ya Tanzania na wengine wanaendele kujiunga.
 

Moja kati ya malengo makubwa ya Promover ni kukuza jina na kumjengea thamani kubwa mwimbaji.Tumelenga kuinua muziki wa injili Afrika Mashariki.





 

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment