TUMA WIMBO



Promover.com pia inahusika kwa kiasi kikubwa katika kutangaza nyimbo za injili,hivyo basi tunakupa fursa wewe mwimbaji binafsi,kwaya,band au kikundi kututumia wimbo/nyimbo zako kwaajili ya kupata nafasi ya kuzitangaza katika tovuti hii inayotembelewa na zaidi ya watu 500 kwa siku.

Pia kwakuwa tovuti hii inahusika na kuchapisha habari za kikristo,tunakupa nafasi kututumia habari yoyote ya kikristo yenye ukweli na uhakika.Kama unatarajia kufanya uzinduzi,tamasha,kongamano,mkutano wa injili,semina au hafla yoyote unakaribishwa kutangaza nasi.


Kingine cha pekee ni kwamba tunayohuduma ya pekee ya kutangaza sherehe ama hafla yoyote.Hii inamaanisha kwamba kama unategemea kufanya sherehe ya harusi,sherehe ya kuzaliwa kumbukumbu ama hafla yoyote.(hii ni pamoja na sherehe zote ambazo tayari zimekwishafanyika tutazitangaza).Katika sehemu hii pia tunatangaza Tanzia yaani mazishi misiba na kumbukumbu mbalimbali.

Huduma zote tajwa hapo juu tunazitoa kwa gharama nafuu kabisa.Kwa upande wa nyimbo tutumie kwenye email hii promover100@gmail.com au What's up number 0784074462.Kumbuka kuambatanisha maelezo ya wimbo pamoja na picha maalum(photo cover).

Kuhusu huduma nyingine pia tumia mawasiliano tajwa hapo juu kuwasiliana nasi.Kumbuka tovuti hii ni ya kikristo,Karibu sana!


    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment