INGIA HAPA KUWAPIGIA KURA WATANZANIA WANAOSHIRIKI KWENYE TUZO ZA INJILI ZA AFRIKA MASHARIKI


Waimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Beatrice Mwaipaja,Angel Benard,Christina Shusho naye Bonny Mwaitege,ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili wanaoshindana katika Tuzo za injili Afrika Mashariki zinazoitwa East Africa Gospel Awards(EAGA)

Watanzania wengine ni Calvary G Band,Mbagwa Hassan,Innocent Mujwahuki,Victoria Martin,Makeke.

Njia ya kuwapigia kura watanzania hawa kwenye tuzo hizo zitakazofanyika mwezi wa 12 ni kwanza kabisa kuhakikisha unayo barua pepe(email)

Kama una email utaiweka kwenye eneo palipoandikwa Email Address kisha utaanza kupiga kura kwa chini,zingatia kwamba utatakiwa kuchagua mshiriki mmoja kwa kila kipengele unachopiga kura na hata vile vipengele ambavyo havina mshiriki unayemtaka unatakiwa tu kumchagua mmoja yeyote ili uweze ku submit kura zako.


Karibu sasa upige kura,bonyeza>>PIGA KURA HAPA
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment