TAZAMA PICHA KATIKA TUKIO LA PAPA FRANCIS KUMTUNUKU TUZO MTANZANIA


BABA Mtakatifu Fransisko amemtunuku tuzo ya heshima aliyekuwa mkuu wa idara ya afya mstaafu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) dokta Fredrick Kigadye kutokana na mchango mkubwa alioutoa kwa kanisa katoliki na barza akiitumikia idara hiyo na majukuu mengine.

Tuzo hiyo 'BENE MERENTI' imepokelewa kwa furaha na Katibu Mkuu wa TEC Padri Raymond Saba ambaye pamoja na kumpongeza dokta Kigadye,amesema watumishi wengine wa baraza lazima waige mfano wa utendaji wake.

Karibu sasa utazame matukio katika picha kwenye halfa hiyo.

 
  
  

 ~PAPA FRANCIS AMTUNUKU MTANZANIA TUZO YA HESHIMA
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment