MANONGA CLASSIC AACHIA WIMBO MPYA,USIKILIZE HAPA



Anafahamika kwa jina la Manonga Classic Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania ametoa zawadi nzuri kwa mashabiki wake kabla ya sikukuu za krismas na mwisho wa mwaka.

Zawadi hiyo ni ya wimbo mzuri unaokwenda kwa jina la ACHA NIKUIMBIE akiwa amemshirikisha Isaya Petro.

Akizungumza na Promover.com mapema baada ya kuachia wimbo huo rasmi kupitia kipindi cha full shangwe extra cha kituo cha redio kwaneema fm cha jijini Mwanza,Manonga amesema huo ni moja kati ya nyimbo alizoimba kwa hisia sana na anaamini utawabariki wengi watakao usikiliza.

Ukimuhitaji Manonga kwa mialiko mbalimbali yuko tayari na anapatikana kwa simu namba: 0752 690 120

-Sikiliza/Download wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment