KANISA LA ELSHADDAI KUADHIMISHA MIAKA 3 YA KUANZISHWA KWAKE JUMAPILI HII


Waanzilishi Au Waasisi Na Wakurugenzi Wakuu Wa Huduma Elshaddai Holy Word Evangelism Ministry International Yenye Makao Yake Makuu Mwanza,Pst.Chege Shadrack Na Pst.Grace Mushi wanawakaribisha Wakazi Wote Wa Mwanza Kwenye Sherehe Ya Kumbukumbu Ya Miaka Mitatu Ya Kanisa Lao La Mwanza.

Sherehe Hiyo itafanyikia Kwenye Ukumbi Wa Hoteli Ya Zenze Misheni Kirumba Karibu Na Uwanja Wa Furahisha Jumapili Ya Tarehe 11 Disemba Kuanzia Saa Nane Na Mgeni Rasmi Ni Mama Donata Gabrieli Swai Mfanyabiashara Maarufu Jijini Mwanza.

Waimbaji Binafsi Wa Mwanza Wenye Nafasi Nawaomba wafike bila kukosa ili kushiriki kwa pamoja katika Kumshukuru Mungu Kwa Kusifu Na Kuabudu Siku Hiyo.

Chakula Kitakuwepo kwa wote watakao fika na hakuna  Kiingilio ni buuure kabisa!Wote mnakaribishwa!

Kwa mawasiliano zaidi mpigie Pst.Chege Shadrack Kwa simu namba:0754 236 918
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment