
Hondwa amesema wakati anaenda kufanya wimbo huo alikuwa akiishi jijini Dar es salaam maeneo ya Tandale na ilimpasa atembee kwa miguu hadi Tabata kwaajili ya kurekodi wimbo huo kutokana na kukosa nauli.
Katika sentensi nyingine Hondwa ametoboa kuwa alilazimishwa sana kuimba gospo na Baba yake mzazi pamoja na kaka yake kwani yeye alikuwa mwimbaji wa bongo fleva na hakuwahi kufikilia kumwimbia Bwana.
Kuyapata hayo na mengine mengi aliyoyaeleza katika mahojiano hayo,sikiliza hapa chini: Hondwa Mathiasi anategemea kuzindua album yake mpya ya NANI KAMA MAMA uzinduzi utakaofanyika jijini mwanza tarehe 20/11 mwaka huu.Kutazama wimbo wa UINULIWE na Kufahamu zaidi kuhusu uzinduzi huo,bonyeza>> HAPA

0 maoni:
Post a Comment