
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Moses Simkoko anakualika kutazama wimbo wake mpya unaoitwa 'Kesho yako' aliomshirikisha mwimbaji Hondwa Mathias.
Wimbo huo wa hamasa umerekodiwa kwenye studio za Enz Records na kuongozwa na director Pyuza Rich.Karibu sas utazame wimbo huo.Barikiwa!
0 maoni:
Post a Comment