
Kanisa la PAG lililopo mkabala na Rift Valley Hotel mkoani mbeya limekuandalia ewe mkazi wa mbeya semina kubwa kabisa ya uongozi.
Semina hiyo itafanyika alhamisi ya 23/2/2017 kanisani PAG kuanzia majira ya saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.
Mnenaji mkuu katika semina hiyo ni Mwl & Mch:Peter Mitimingi huku somo kuu likiwa ni "Kanuni za kupanua fursa za uongozi wako"
Kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kufika kanisani piga simu namba 0713 183939.Watu wote mnakaribishwa!
0 maoni:
Post a Comment