Huduma ya
Life Givers chini yake mtumishi wa wa Mungu Mch Godfrey Fungo inakuletea semina
kubwa kabisa ya Kuinuliwa kiuchumi,uponyaji,ishara na miujiza katika jiji la
Mwanza.
Semina hiyo
itafanyika kuanzia Tar 9-16/4/2017 kila siku saa 9:00 Alasiri katika ukumbi wa
Vijana Social uliopo jirani na viwanja vya furahisha kirumba jijini Mwanza.
.
Mhubiri
Baraka John Maina kutoka nchini Kenya atashirikiana
na mchungaji kiongozi Godfrey Fungo katika mafundisho ya kiroho huku waimbaji
mbalimbali wakihudumu katika semina hiyo akiwemo Mess Chengula na Mc Makondeko kutoka jijini Dar es Salaam
wakati kutoka jijini Mwanza ni Manonga Classic,Lubango Kitula,Juliety
Busagi,Janet John,Happines Mwakyusa na wengine wengi.
Ewe mkazi wa
jiji la Mwanza Usikose katika semina hii kwani mtumishi wa Mungu Mess Chengula
atafundisha jinsi ya kuwa mjasiliamali wakati ukimtumikia Mungu na jinsi ya
kufanya biashara yenye mafanikio kwa muda mfupi.
Njoo
ufunguliwe katika vifungo vya umasikini,mateso na maagano yote ya nguvu za
giza.Kumbuka hakuna kiingilio ni Bureeee kabisa!Wote mnakaribishwa!
0 maoni:
Post a Comment