
Kikundi maarufu cha Waimbaji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki kinachoitwa AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR kutoka kanisa la Remera SDA ya Rwanda wameachia album ya namba 14 iliyoitwa 'HOSIYANA'
Promover.com tumeipata video yao ya 'SABATO' moja kati ya nyimbo ndani ya album hiyo nasi tunakusogezea uweze kuitaza hapa.Karibu na ubarikiwe!
0 maoni:
Post a Comment