DOWNLOAD/SIKILIZA HIT SONG YAO SOUL BROTHERS-NAKUSUBIRI

Wanaitwa SOUL BROTHERS muungano wa ndugu wawili Yohana Mwanchali na Musa Isaya kutoka jijini mwanza walioamua kuwa kikudi kimoja na kufanya kazi.

Umahili wao wa sauti ndio uliowaanya wafahamike kwa muda mfupi tangu waingie rasmi kwenye soko la muziki wa injili.

Leo ndugu hawa wanatualika tuweze kusikiliza wimbo wao ambao kiuhakika umekuwa hit song kwa muda mfupi tu tangu ulipotoka,wimbo unaitwa "Nakusubiri" ukiwa umefanika katika studio ya Update Music chini yake Producer Doncher Master.barikiwa na kibao hiki.

-Kwa maelezo zaidi na mawasiliano yao Soul Brothers,Bonyeza>>HAPA

-Sikiliza wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment