UZINDUZI WA HONDWA MARTHIAS WAACHA HISTORIA JIJINI MWANZA,MAELFU WAJITOKEZA

Jumapili ya tarehe 20/11/2016 ilikuwa siku ya historia katika jiji la Mwanza baada ya mwimbaji wa nyimbo za injili Hondwa Mathias kufanya uzinduzi wa aina yake ukihudhuliwa na maelfu ya wadau wa mziki wa injili.

Uzinduzi huo ulikuwa ni wa album ya NANI KAMA MAMA ambapo alisindikizwa na waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.

Tamasha hilo lilienda sambamba na uchangiaji wa pesa kwaajili ya kuwasaidia yatima na wajane,ambapo viongozi mbalimbali wa serikali kutoka jijini Mwanza waliendesha zoezi hilo.

Karibu utazame picha katika tukio hilo:
 
 
 
 
 
 
 
 
Kutazama picha zaidi,bonyeza>>HAPA
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment