TAZAMA VIDEO MPYA-IMELA | BEN WILLIAM

Kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania,muimbaji wa nyimbo za injili kwa jina Ben William ameachia hii video yake mpya inayofahamika kama 'Imela'

Audio imefanyika kwa mikono yake mwenyewe ndani ya studio za Apex Music na video imeongozwa na director King Sabe.


Kwa mawasiliano zaidi mtafte Ben William kwa namba:0719813124

Karibu sasa uitazame video hiyo. 
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

  1. Casino online, casino online free, casino online
    Welcome to Casino Online, Online Casino 우리카지노 계열사 Free, Casino Online, Casino Online, Casino Free, Online Casino fun88 soikeotot Bonus, Casino 메리트카지노 Online Online, Casino Promo Codes,

    ReplyDelete