USHUHUDA WA MSUKULE ALIYETOROKA GAMBOSHI.SEHEMU YA KWANZA HADI MWISHO


Kama umekuwa ukifatilia kipindi chetu cha ushuhuda sasa leo tunakuletea ushuhuda mkubwa sana wenye mafunzo mengi tu.

Ni katika sehemu ya kwanza hadi ya mwisho ya ushuhuda wa kusisimua wa kijana anayeeleza mapito yake baada ya kufariki kisha kurudi tena duniani baada ya miaka 3 na miezi 8.Kumbe hakufariki bali alichululiwa na wachawi na kupelekwa mahali ambapo yeye alipatambua kama gamboshi.Hebu fatilia ushuhuda huu naamini utabarikiwa.

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment