HONDWA MATHIAS AFUNGUKA KUHUSU HARUSI YAKE


Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili kutoka Nchini Tanzania anayeitwa Hondwa Mathias a.k.a Hondwa Melody,ametoa zawadi kwa mashabiki wake kuelekea sikukuu za christmas na mwaka mpya ambapo zawadi hiyo ni wimbo unaoitwa"HARUSI"


Akizungumza na Promover.com Hondwa amesema wimbo huo ni maalumu kwaajili ya sherehe ya harusi  kwani unazungumzia siku ya harusi ukiwa na nasaha kwaajili ya maharusi.

Wimbo huo umerekodiwa katika studio za HM Records za jijini Dar es salaam chini ya mikono ya producer makarizim.Karibu sasa uusikilize wimbo huo

Hondwa Mathias yuko tayari kwa mialiko mbalimbali ya injili pia hata katika sherehe ya harusi yuko tayari kutumbuiza wimbo huo.Kwa mialiko tu mtafte kwa simu namba:0755 832 598

-Sikiliza/download wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment