TAZAMA VIDEO MPYA YAKE JESSICA BM | USIFIWE JEHOVA

  
Jessica BM(Jessica Honore BM)Huyu ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania ambaye leo anakualika kutazama video mpya ya wimbo wake wa 'Usifiwe Jehova'

Wimbo huo umetengenezwa naye producer Masanja Frester kwenye studio za Real Production Huku video yake ambayo leo utaitazama kupitia Promover.com imeongwazwa naye director Jackson Joachim kutoka Blessing Studio.

Karibu sasa uutazawe wimbo huo,washirikishe marafiki kisha kama una maoni tuandikie hapo chini.Karibu!
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

  1. Harrah's Cherokee Southern Indiana - KIRILL KROKO HOLD
    Hotel. Harrah's Cherokee, also known 카지노 사이트 as Hard Rock Hotel & Casino, was kirill-kondrashin founded in 1979 when three Native American-owned casinos

    ReplyDelete