SIKILIZA NENO LA SIKU:ATAMALIZA KAZI KUTOKA KWA BISHOP MPEMBA

 
Shalom,bila shaka hujambo!karibu upate neno la siku ujumbe maalumu kwaajili ya siku ya leo ambao bila shaka utakubariki.

Ujumbe huu kwa siku ya leo unatolewa naye Dk.Bishop Augastine Mpemba askofu mkuu wa makanisa ya Tanzania Field Evangelism(maarufu kma kanisa la kwaneema)lenye makao yake makuu jijini Mwanza nchini Tanzania.

Ujumbe huu umebeba kichwa cha 'ATAMALIZA KAZI' kutoka kitabu cha Mambo ya Nyakati wa1 sura ya28 mstari wa 20.Karibu na ubarikiwe sana!  
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment