LEO NI BIRTHDAY YA PETER ABDALAH,HAFLA YA BURE KABISA KUFANYIKA JIJINI MWANZA,USIKOSE!


Siku kama ya leo ni siku aliyozaliwa Peter Abdalah a.k.a Brother P ambaye leo anaadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake.

Kwa sasa Peter ndiye afisa masoko wa Promover Manegement wamiliki wa blog hii lakini pia ni mtangazaji wa kituo cha redio cha kwaneema fm cha jijini Mwanza.

Leo usiku kutakuwa na hafla fupi ya kusherekea siku hii muhimu ambayo itafanyika Lenana Hotel iliyopo Pasiansi jijini Mwanza.Kama ungependa kushiriki katika hafla hiyo ya bure kabisa unakaribishwa ila utatakiwa kuja tu na zawadi.

Hafla itaanza saa tatu kamili usiku kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0755 255 884
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment