DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA JANETH KONJE FT JOHN PLANET | ASANTE MAMA



Janeth Konje ni Mwimbaji wa siku nyingi tu wa nyimbo za injili kutoka wilayani Ukerewe mkoani Mwanza nchini Tanzania ambaye baada ya kukaa kimya kwa miaka kadhaa sasa kaamua kurudi rasmi kwenye huduma ya nyimbo za injili.

Hivi karibuni ameachia nyimbo mbalimbali ambapo kupitia promovertz.com utaendelea kuzipata moja baada ya nyingine lakini kwa siku ya leo anakualika uweze kuusikiliza wimbo aliomshirikisha mwanaye anayeitwa John Planet wimbo unaitwa ‘Asante Mama’ 

Wimbo huo umeanyika katika studio za Tvoli chini ya mikono ya producer Saleh.Karibu sasa uweze kuusikiliza wimbo huo pia unaweza kuudowload hapo chini.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment