DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA KUTOKA KWA JOEL LWAGA | PENDO

 
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeitwa Joel Lwaga ameachia wimbo mpya kutoka album mpya ambayo bado hajaiachia

Wimbo huo huo mpya unajulikana kwa jina la 'PENDO' na ni moja kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya inayoitwa 'Sitabaki Nilivyo' itakayokuwa mitaani hivi karibuni.

Wimbo wa Pendo umerekodiwa katika studio za Push Up Records.Karibu sasa kupitia Promovertz.com uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huo pia usisahau kuusambaza kwa marafiki. 
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment