HAPPY BIRTHDAY CHRISTIAN KELVIN,BONYEZA HAPA KUPATA KAZI ZAKE

 
Ni siku nyingine tena nzuri kwa mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza Christian Kelvin ambaye anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa 2 Dec miaka kadhaa iliyopita.

Chistian Kelvin ametamba sana na nyimbo zake kali kama vile FIKIA CHEO,TUWACHAFULIE,KUWA NAWE,YANGURUWE bila kusahau wimbo wa sasa unaotamba sana unaoitwa CHINJACHINJA.

Uongozi mzima wa promover unamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu.Happy birthday Christian Kelvin.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment