TAMASHA LA MTAKATIFU LAKE JOHN LISU KUFANYIKA MWANZA SIKU YA MWAKA MPYA,TAYARI TIKETI ZIMEANZA KUUZWA

 
Promover Management Entertainment wakishirikiana na Mwanza Community Church(MICC) Wanakuletea Tamasha la uzinduzi wa album ya Mtakatifu kutoka kwake mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili anayeitwa John Lisu.

Tamasha hilo la 'Mtakatifu' litaanyika 1/1/2018 kwenye hoteli ya Belmont Fairmont Hotel iliyopo jengo la Nssf Mwanza mjini kuanzia saa 8 mchana.

Kiingilio katika tamasha hilo ni Tsh 5,000 kwa viti vya kawaida na Tsh 10,000 kwa V.I.P.

Tayari tiketi zimeanza kupatikana mitaani unaweza kununua tiketi yako katika vituo vifuatavyo:Kwaneema fm radio,Belmont Fairmount Hotel na Kanisani MICC au unaweza kupiga simu namba 0683086866/0757122890

Kumbuka kutakuwa na waimbaji mbalimbali katika tamasha hilo bila kusahau live perfomance kutoka kwakwe mwenyewe mtaalamu wa live John lisu.Watu wote mnakaribishwa!
 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment